Pages

Saturday, April 26, 2014

KINANA AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA MSUMBIJI

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Waziri Mkuu wa Msumbiji, Dk. Alberto Vaquina, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, jana. Baadaye Waziri Mkuu huyo alifanya mazungumzo na Kinana kuhusu masuala mbalimbali hususan ya kisiasa.


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha kwa ajili ya mazungumzo, Waziri Mkuu wa Msumbiji, Dk. Alberto Vaquina, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam,



Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Waziri Mkuu wa Msumbiji, Dk. Alberto Vaquina (kulia), kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Aprili 25, 2014. Picha zote na Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA