Pages

Thursday, April 24, 2014

MAALIM SEIF ATEMBELEA BANDA LA BUNGE LA MUUNGANO

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe.Maalim Seif Shariff (kulia) akisaini Kitabu cha Wageni Mashuhuri alipotembelea banda la Ofisi ya Bunge la jamhuri ya Muungano wa tanzania ililoko katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam wakati wa maonesho ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano. Maalim Seif amesifu kazi zanazofanywa na Ofisi ya Bunge la Muungano.

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA