MANISPAA YA KINONDONI YANUNUA MAGARI MAPYA 10 YENYE THAMANI YA MIL 779
Magari Mapya aina ya Toyota Yakiwa Manispaa ya Kinondoni leo mara baada ya kukabidhiwa Mwonekano wa mo(ja ya gari mpya zilizonunuliwa na manispaa ya kinondoni Meya wa Kinondoni Yussuph Mwenda akikabidhi funguo kwa mmoja wa madereva
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA