Pages

Saturday, April 26, 2014

SHEREHE ZA MUUNGANO; ASKARI MAGEREZA WAONESHA WANAVYOPAMBANA NA WAFUNGWA WAKOROFI

'Wafungwa' wakijifua kupambana na askari Magereza katika moja ya maonesho yaliyotia fora sana kwenye sherehe za miaka 50 ya Muungano katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo

Askari akipambana na 'Mahabusu' aliyeasi

Askari akila sahani moja na 'wafungwa' watatu

Askari anapangua teke....

Kisha anakata zote bee....

Mfungwa hoi...

Anadakwa kilaaiiini....
Hii ilikuwa ni igizo tu, kwani hakukuwepo na mfungwa halisi bali askari waliovalia aina ya nguo za wafungwa....Chanzo Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA