Pages

Thursday, April 24, 2014

uliisoma hii ?KAKOBE "TANGANYIKA HURU LAZIMA IPATIKANE....NYERERE SIO MUNGU NAYE ALIKUWA NA MAPUNGUFU YAKE"

Amesema Tanganyika huru lazima ipatikane ni suala la muda tu
Nchi yetu imekuwa katika laana kwa muda mrefu kwa sababu tumeshindwa kuilinda mipaka yetu
Moto wa kudai Tanganyika umewaka na hamna mtu awezaye kuuzima. Awaonya watawala kusoma
alama za nyakati na amewataka kuiepusha nchi kuingia katika machafuko kwa kuridhia Serikali ya
Tanganyika.
Pia amesema Nyerere sio Mungu naye ana mapungufu yake wanaomuabudu wanakosea. Kosa alilolifanya Nyerere ni kuruhusu kuunda serikali hewa ya Tanzania bara ambayo kimsingi haipo ukiliganisha na Zanzibar.
Amewaonya viongozi wanaopinga kurejeshwa kwa Tanganyika kuwa wataitumbukiza nchi katika
machafuko.
...Hizo zilikuwa salamu za Pasaka alizozitoa juma pili iliyopita katika kanisa la FGBF Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA