Pages

Friday, April 4, 2014

Utata wa hati ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Hatua ya kutopatikana kwa hati halali ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, imezidi kuleta utata katika Bunge Maalum la Katiba.

Utata huo umejitokeza katika vikao vya kamati kadhaa baada ya wajumbe kuanza kujadili vipengele vya Rasimu ya Katiba. Ili kutaka kufahamu kuhusu mvutano huo na sehemu hasa ilipo hati hiyo ya Muungano, Grace Kabogo amezungumza na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud, na hapa anafafanua zaidi.

Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Grace Patricia Kabogo

Mhariri: Yusuf Saumu

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA