Gari la Princes Munaa lenye namba za usajili T183 CRW likiwa limepiga mweleka.
Ajali ya Basi la Princes Munaa lililokuwa likitokea Jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza, katika kijiji cha Mtanana Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma. Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hii, watu kadhaa wamejeruhiwa.CHANZO:GLOBAL PUBLISHERS
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA