Pages

Wednesday, April 15, 2015

*BREAKING NEEWZZZZ!!!!!, POLISI YATUBUA JARIBIO LA SHAMBULIO MOROGORO, WATIA MBARONI WATU 9

HABARI ZILIZOUFIKIA MTANDAO HUU HIVI PUNDE ZINASEMA KUWA WATU TISA WANASHIKILIWA NA POLISI MKOANI MOROGORO BAADA YA KUWAKAMATA WAKIWA WAMEJIFUNGIA NDANI YA MSIKITI WA KIDATU HUKO KIROMBERO MKOANI MOROGORO WAKIWA NA SILAHA MBALIMBALI NA VIFAA VYA MILIPUKONA .

MTU HUYO AMEUWAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI
KWA TAARIFA ZAIDI ENDELEA KUTUFWATILIA HAPA www.hakileo.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA