Pages

Wednesday, June 17, 2015

MTIA NIA JIMBO LA KILOSA RAJAB MSABAHA KAUZELA AENDELEA NA ZIARA ZA UFUNGUZI WA MATAWI

Mwanachama wa CHADEMA akiandaa bendera tayari kwa ufunguzi wa Tawi la Chadema Jimboni Kilosa



Mtia ni wa Ubunge Kilosa Ndugu Rajab Msabaha Kauzela akipandisha bendera kama ishara ya ufunguzi wa Tawi la Chadema katika mwendelezo wa ziara zake za ufunguzi wa matawi ili kujenga chama Jimboni Kilosa









Wananchi waliofurika kushuhudia ufunguzi wa Tawi Jipya la Chadema moto wa gesi Jimboni Kilosa



Ndugu Kauzela akihutubia wakazi wa Kilosa katika ufunguzi wa Tawi la CHADEMA Jimboni Kilosa






Ndugu Kauzela akisalimiana na viongozi wa CHADEMA waliohudhuria ufunguzi wa Tawi la CHADEMA Jimboni Kilosa

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA