WAHESHIMIWA Jakaya Mrisho Kikwete (Luteni Kanali Mstaafu au Retired Lieutenant Colonel) na Abdulrahman Omari Kinana (Kanali Mstaafu au Retired Colonel), siku ya kuhitimisha na kustaafu utumishi wao kwa JWTZ, Oktoba 1992. Hii ilikuwa ni miezi mitatu tangu kutangazwa kuanza rasmi kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania, Jumatano Julai 1, 1992
 
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA