Mh. Lowassa ameweka rekodi mpya baada ya kupata wadhamini 22, 758 tangu aanze kutafuta wadhamini mapema mwezi huu
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wana CCM na wakazi wa Manispaa ya Singida waklati akiondoka makao makuu ya CCM mkoani Singida Juni 16, 2015 baada ya kupata wadhamini.
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono wana CCM na wakazi wa Manispaa ya Singida wakati akiondoka makao makuu ya CCM mkoani Singida, Juni 16, 2015 baada ya kupata wadhamini.


No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA