NDUGAI ADAIWA KUMPIGA MGOMBEA MWENZAKE NA KUZIMIA KURA ZA MAONI CCM LEO.
Harakati za kura za maoni za chama cha CCM - katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, Naibu Spika wa Bunge , Job Ndugai anadaiwa kumpiga mgombea mwenzake, ambaye kazimia na kukimbizwa hospitali.
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA