Pages

Tuesday, November 12, 2013

DR SENGONDO MVUNGI AMEFARIKI DUNIA



Taarifa zilizotufikia ni kuwa Ndugu yetu Dr.Sengondo Mvungi Amefariki mnamo Majira ya Saa Tisa na Nusu katika hospital ya Milpark nchini Afrika kusini .Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi.Tutazidi kuwapa taarifa zaidi

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA