www.hakileo.blogspot.comBaada ya Chris Brown kuhukumiwa masaa mengine 1000 ya kufanya kazi za jamii kusafisha mitaa, hii ni kutokana na kushindwa kusafisha vizuri kwenye hukumu ya kwanza baada ya kumpiga Rihanna. Tangu siku ya hukumu Chris Brown alionekana mwenye hasira sana na hivi karibuni ameongea zaidi kuhusu hisia zake kupitia mtandao wa twitter.Hizi ni baadhi ya tweets zake ambazo zinazungumzia moja kwa moja ishu ya hukumu yake.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
6 years ago
