DULLY ATANGULIA NYUMBANI KWAO MAREHEM NGWEA
Siku moja baada ya kifo cha marehem Ngwea, Dully alikuwa na safari ya
kuelekea Mwanza, ambapo alikaa huko kwa muda wa siku mbili na kurudi,
kwakuwa alikuwa akiendesha mwenyewe gari lake kuelekea Mwanza na
kurudi, Dully aliamua kubaki Morogoro tangu siku ya juma tatu kuusubiri
mwili wa Ngwea, ambapo kwa sasa yupo na afande sele na wananchi kibao
maeneo ya nane nane, wakisubiri kuusindikiza mwili wa marehem kutoka
maeneo hayo