Imeandikwa na Waandishi Wetu, Dar es Salaam |
KWA MUJIBU WA GAZETI LA JUMUHURI. |
*Kinondoni, Magomeni, Mbezi, Tanga watia fora
*Wamo Wakenya, Wanigeria, waimba taarab Dar
*Wengine wapata dhamana kimizengwe, watoroka
Vita dhidi ya wauzaji na wasafirishaji dawa za kulevya inazidi kupamba moto, na sasaJAMHURI imepata orodha ya watu wengine 245 wanaotajwa kuwa ndiyo ‘mapapa’ wa biashara hiyo haramu hapa nchini.
Idadi hii ni tofauti na ile iliyochapishwa na gazeti hili katika toleo lililopita. Tofauti na orodha hiyo ya awali, kwenye hii mpya JAMHURI imefanikiwa kupata makazi ya baadhi ya ‘mapapa’ hao ambao miongoni mwao ni waimba taarab maarufu.
Katika orodha tuliyochapisha hapa chini, baadhi ya mapapa hao ni raia wa kigeni. Majina ya nchi wanazotoka tumeyaonesha kwenye mabano, kama ilivyo kwa Watanzania ambao sehemu wanakotoka pia tumezionesha katika mabano. Majina kadhaa ya ‘mapapa’ hao hayana majina ya sehemu wanazotoka. Juhudi za kubaini maeneo hayo zinaendelea.
Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI kwa wiki kadhaa sasa umefanikiwa kupata orodha ya watuhumiwa hao wakuu ambao asilimia 99 wako rumande wakishikiliwa na vyombo vya dola, huku wengine wakiwa wamefikishwa mahakamani.
Asilimia zaidi ya 90 ya ‘mapapa’ hao wapo jijini Dar es Salaam, huku maeneo ya Kinondoni, Magomeni na Mbezi yakiongoza kwa kutoa idadi kubwa. Kilo moja ya cocaine inauzwa Sh milioni 50.
Kwenye orodha hii mpya, wamo Watanzania na raia wa mataifa mbalimbali walionaswa kwa nyakati tofauti, wengine wakiwa wamejichimbia kwenye mahekalu katika maeneo ya Mbezi, Oysterbay na Masaki.
Miongoni mwa ‘mapapa’ hao ni Fredy William Chonde (mkazi wa Magomeni), Kambi Zuberi (Temeke), Abdul Ghan na Shahbaz Maliki (Pakistani) waliokamatwa wakiwa na kilo 175 za heroin. Mapapa wawili - Shahbaz na Maliki ambao ni raia wa Pakistani, wametoroka nchini baada ya kupewa dhamana katika mazingira tata.
Papa mwingine, Ally Mirzai Pirbakhish ambaye ni Mpakistani, amekamatwa akiwa na waimba taarabu maarufu ambao wote ni wakazi wa Kinondoni. Waimbaji hao ni Aziz Juma Kizingiti, Said Mashaka Mrisho, Abdulahman Mtumwa, na Hamidu Kitwana Karimu.
Pia kuna watuhumiwa Ismail Shebe Ismail, Rashid Salim na Majed Gholamghader (wote wakazi wa Kinondoni, Dar es Salaam) waliokamatwa wakiwa na kilo 50 za heroin.
Raia wa Afrika Kusini, Jack Vuyo na Anastazia Elizabeth Cloete, wako mbaroni kwa kukutwa na kilo 42 za heroin. Mnigeria aliyetambuliwa kwa jina la Kwako Sarfo amekamatwa akiwa na kilo 11.951 za cocaine.
Mapapa wengine ni wakazi wa Kinondoni jijini Dar es Salaam, Aziz Juma Kizingiti, Said Mashaka Mrisho, Abdulahman Mtumwa, Hamidu Kitwana Karimu na Mpakistani Ally Mirzai Pirbakhish waliokamatwa wakiwa na kilo 97 za cocaine.
Kwenye orodha hiyo wamo Mwanaidi Ramadhan Mfundo ambaye ameolewa na raia wa Kenya, lakini nyumbani kwa wazazi wake ni Mbezi Beach, Dar es Salaam. Wengine ni Sara David Munuo (Kenya), Anthony Karanja (Kenya), Benny Ngare (Kenya), Almas Hamis Said (Kinondoni), Yahaya Haroun Ibrahim (Kinondoni), Aisha Said Kungwi (Mwenge, Dar es Salaam), Rajabu Juma Mzome (Mbezi Luis) na John William Mwakalasya ambaye ni mkazi wa Temeke jijini Dar es Salaam.
Aidha, yumo Mtanzania mwenye asili ya Kiasia anayeitwa Rashid Ally Mtopea (mkazi wa Magomeni, Dar es Salaam) ambaye pamoja na wenzake wawili - Idd Adam Mwaduga (Tanga) na Nurdin Husein (Ilala) wamekamatwa wakiwa na kilo 12 za heroin.
Orodha kamili ya mapapa hao ni:
1: Steven Gwaza (Upanga, Dar es Salaam).
2: Rebecca Wairimu Mwangi (Kenya)
3: Khatibu Bakari Khatibu (Magomeni)
4: Khalid Salimu Maunga (Uingereza)
5: Dhoulkefly Awadhi (Tabata Kimanga, Dar es Salaam)
6: Abdallah Pashua Kipevu (Kinondoni)
7: Diaka Brama Kaba (Guinea) 8: Ndjane Abdubakar (Liberia) 9: Sylivia Kaaya Namirembe (Uganda) 10: Farid Kisuule (Uganda) 11: Robinson Dumba Teise (Uganda) 12: Ismail Mugabi (Uganda) 13: Rashid Salim Mohamed (Uganda) 14: Mini Thabo Hamza (Afrika Kusini) 15: Kwako Sarfo (Nigeria) 16: Hamis Muhamed Mtou (Magomeni) 17: Mustapha Musa (Kinondoni) 18: Amani Saidfadhil Daruwesh (Kinondoni) 19: Afshin Jalal (Kinondoni)
20: Jack Vuyo (Afrika Kusini)
21: Anastazia Elizabeth Cloete (Afrika Kusini) 22: Simon Eugenio Fadu 23: Assad Azziz 24: Ismail Shebe Ismail (Kinondoni)
25: Rashid Salim (Kinondoni)
26: Majed Gholamghader (Kinondoni) 27: Anna Jamaniste Mboya (Kinondoni) 28: Fredy William Chonde (Magomeni) 29: Kambi Zuberi (Temeke) 30: Abdul Ghan (Pakstani) 31: Shahbaz Malik (Pakstani) 32: Livinus Ajana Chime (Nigeria) 33: Chukuwudu Denis Okechukwu (Nigeria) 34: Pailo Ekechkwu (Nigeria) 35: Hycenth Stan (Afrika Kusini) 36: Shoaib Mohamed (Pakistani) 37: Pedro Alfredo Chongo (Kinondoni) 38: Kadiria Said Kimaro (Kawe) 39: Abdallah Rajab Mwalimu (Magomeni Kagera) 40: Mwiteka Godfrey Mwandemele (Kinondoni) 41: Abbas Kondo Gede (Kinondoni) 42: Mwanaidi Ramadhan Mfundo (Kenya) 43: Sara David Munuo (Kenya) 44: Anthony Karanja (Kenya) 45: Benny Ngare (Kenya) 46: Almas Hamis Said (Kinondoni) 47: Yahaya Haroun Ibrahm (Kinondoni) 48: Aisha Said Kungwi (Mwenge) 49: Rajabu Juma Mzome (Mbezi Luis) 50: John William Mwakalasya (Temeke) 51: Ally Mirzai Pirbakhish (Pakstani) 52: Aziz Juma Kizingiti (Kinondoni) 53: Said Mashaka Mrisho (Kinondoni) 54: Abdulahman Mtumwa (Kinondoni) 55: Hamidu Kitwana Karimu (Kinondoni) 56: Ramadhan Athuman (Tanga) 57: Rashid Mohamed (Tanga) 58: Ally Mohamed Kichaa (Tanga) 59: Issa Abdurahman (Tanga) 60: Rashid Ally Mtopea (Magomeni) 61: Idd Adam Mwaduga (Tanga) 62: Nurdin Hussein (Ilala) 63: John Adam Igwenma (Nigeria) 64: Ismail Adam au Athuman Yamvi a.k.a Rasta (Afrika Kusini) 65: Ahmed Said Mohamed (Temeke) 66: Morine Amatus Liyumba (Kinondoni) 67: Upendo Mohamed Cheusi 68: Abdallah Omary Salum 69: Salama Mashaka 70: Ekene Paul Ndejiobi (Nigeria) 71: Hamis Hemed Issa 72: Lwaretta Chioma Ani (Nigeria) 73: Cosmas Chukwumezie (Nigeria) 74: Ifeanyi Malven Kalu Oko (Nigeria) 75: Sunday Valentine Ugwu (Nigeria) 76: Allan Duller (Ireland) 77: Alberto Mendes (Ghana) 78: Joseph Chukwumeka Nwabunwanne (Nigeria) 79: Kwaku Safo Brobbery (Ghana) 80: Princewill Ejike (Nigeria) 81: Mary Mvula (Zambia) 82: Waziri Shaban Mizongi (Dar es Salam) 83: Santos Joseph Mpondela (Dar es Salaam) 84: Kelven Kelven Mwanzen (Dar es Salaam) 85: Emmanuel Adom (Ghana) 86: Asha Omary Ramadhan 87: Mariam Mohamed Said (Kinondoni) 88: Abdullatif Fundikira 89: Marceline Koivogui (Guinea) 90: Edwin Cheleh Swen (Liberia) 91: Benjamin Obioma Onourah (Nigeria) 92: Sofia Seif Kingazi (Kinondoni) 93: Josephine Mumbi Waithera (Kenya) 94: Idd Juma Mfaume (Dar es Salaam) 95: Amina Kasim Ramadhan(Kinondoni) 96: Vivian Edigin (Nigeria) 97: Hadja Tambwe (Kinondoni) 98: Sasha Farhan Mnyeke (Kinondoni) 99: Mychel Andriand Takahindangeng (Indonesia)
100: Kristina Biskasevskaja (Luthenia)
101: Stephen Basil Ojiofor 28 (Nigeria) 102: Judith Marko Kusekwa (Tabata) 103: Khamis Said Bakari (Kinondoni) 104: Tabia Omary au Neema Omary (Kinondoni) 105: Hamisi Abdalah 106: Haji Salum Mintanga 107: Mohamed Ally 108: Pendo Stanley Msaki 109: Ramadhani shabani 110: Nickson Jackson 111: Mussa Lazaro 112: Joseph Msami au Kombe 113: Tile Godfrey 114: Upendo Samweli 115: Joseph Loiruku Manina 116: Karim Benajira na Mwanaisha Ally 117: Prosper Charles 118: Fraiaza Benjamin au Babu 119: Richard Godfrey au Loisor 120: Iddi Rajabu 121: Ally Mohamed na Juma Salum 122: Sophia Rashid na Latifa Ally 123: Khalifa Said 124: Estomi Joel au Sangi 125: Abdala Hamza au Haule 126: Haji Bakari 127: Jasmine Tesha 128: Evance Sebastian 129: Goodluck Anael Mtui
130: Estomih Peter Msuya
131: Laitness Kiando 132: Juma Said
133: John Alex
134: Said Maruku
135: Mohamed Rajabu
136: Simon Sebastian 137: Joyce Francis 138: Hussein Hassan 139: Simon John 140: George Matowo
141: Fred Maloli
142: Rashid Abdallah au Buriburi 143: Paulo Baton,
144: Kashinje Seleli,
145: Sheha Kapaya
146: Moshi Joseph
147: Said Mshana
148: Elias Matelema
149: Pascal John 150: Ramadhan Mohamedi 151: James Samwel 152: Adamu Glehamu au Muhomba Mrisho Simba 153: Juma Kassim au Malila 154: Sadal Jamal 155: Deogratius Ndasi 156: Saada Ally Kilongo 157: Obiesie Gabriel Chibueze (Nigeria) 158: Kennedy Elias Shayo
159: Athumani Musa
160: Abdallah Hamza au Haule, Andrew
161: Mkandilo
162: Abass Abubakar Swai
163: Haji Ibrahim 164: Mwenye gari T 526 BWK 165: Venance Sebastian
166: Hussein Mohamed
167: Bahati Joseph 168: Sadiki Diwani Mhindi 169: Shabani Selemani 170: Yusuph Alawi 171: Kurwa Mbwana 172: Amina Ahmed 173: Joachim Ikechu (Nigeria) 174: Said Ally 175: Ally Juma 176: Miraji Salim
177: Hassan Amri
178: Liviston Bathoromeo,
179: CPL Edward
180: PC George
181: Levila Mollel
182: Levava Londondawa,
183: Saiburu Khuresoi Lukumay,
184: Laskari Lenye Mollel,
185: Kunini Lenye Mollel
186: Saning’o Keuya Mollel
187: Livingstone Matholomeo Urasa 188: Mikidadi Hussein au Athuman 189: Masesa au Habaiba Andrew Joseph 190: Allen Habib 191: Harrison Chigozia Ubah (Nigeria) 192: Njani Hassan Kapaya 193: Adamu Rashid Jalal 194: Idd Hassan Chomu 195: Karim Renajira 196: Khadija Hussein Lukanga 197: Fraizer Benjamin au Babu 198: Bahati Joseph 199: Abdul Mohamed 200: Raheli Yona 201: Simon John 202: Juma Ramadhani 203: Zephania Laizer 204: Adoloph Thobias Mushi 205: Mrisho Simba 206: Danie Kumuo 207: Ally Ramadhani 208: Anna Samweli 209: Felista Kalembo 210: Hussein Hassan 211: Mussa Bwana Mrisho 212: Hakuna 213: Iddi Jumanne 214: Hussein Rashid 215: Joyce Francis 216: Musa Murigo 217: Mohamed Said 218: Oddoi Onesmo 219: Benard Reginald 220: Felista William 221: Allykad Alfonce 222: Selemani Rashid 223: Adam Gleham Mhomba 224: Pius Laurence 225: Jasmin Tesha 226: Juma Ramadhani 227: Soloka Ally na Wenzake wawili 228: Madege Pakasi 229: Joseph Polikapi 230: Emmanuel Absolom 231: Ally Ramadhani 232: Petro Simon 233: Said Mohamed Mollel 234: Raphael John 235: Abdul Ayubu 236: Samweli Loshilari 237: William Matei 238: James Wilison 239: Godfrey Fanuel 240: Rebeka Abdallah 241: Rukia Ally 242: John James 243: Agustino Julius 244: Joseph Lucas 245: Praygod Maliki |
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago