Shuhuda anasema ‘Tulikua tunatoka Dar kwenda Kigamboni ambapo hatua chache kabla ya kufika Kigamboni injini zilizima, baada ya kuzima zikaja Tag kwa ajili ya kutuvuta mpaka ng’ambo ya pili ambayo ni Kigamboni na ilituchukua zaidi ya dakika 45 mpaka kuvutwa ng’ambo ya Kigamboni’
Taarifa kamili zinafata endelea kufatilia kupitia millardayo.com