LEMA KUWASHA MOTO ARUSHA MCHANA HUU,Askari wazuia mkutano wake yeye apeta,kuzungumzia manyanyaso ya mgambo kwa watu wake

www.hakileo.blogspot.com
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema muda mchache ujao anatarajiwa kupanda jukwaani kwenye mkutano wa athara utakaofanyika hapa mjini Arusha.
Kwa mujibu wa taarifa ambazo HAKI LEO imezipata kutoka kwa shuhuda wetu aliyeshudia gari la matangazo likipita, mkutano huo unatarajiwa kuzungumzia ajenda ya manyanyaso wanayopata wafanyabiashara wadogowadog marufu kama machinga kwa kunyanganywa vitu vyao na asikari mgambo.

Pia chanzo chetu cha habri kinaeleza ya kwamba mkutano huo umezuiliwa na jeshi la polisi usifanyike kwa madai ya kwamba kesho ni kilelel cha sherehe ya MUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar kwahiyo sii busara kunfanyika kipindi hiki.Ila Mbunge huyyu amepuza agizo hilo.


Kwa muda mrefu HAKI LEO imeshuhudia wafanyabiashara hawa wakivunjiwa vibanda vyao na wengine vitu au bidhaa zao kuchukuliwa na wengine wakidai ya kwamba hata wakivifwatilia hawavipati na hata wakivipata vingi huwa haviwi katika hali ya awali.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company