Raisi Kikwete amekwisha kagua gwaride na mizinga imekwisha pigwa.
Wageni waliopo ni Pamoja na waziri mkuu wa Tanzania M.Pinda,,Makamo wa Raisi wa Tanzania Bilali,Raisi waZanzbar Sheni.na Makamo wa kwanza wa raisi wa Zanzibar Mh.Self.
Pia Mkapa yupo na Raisi wa enya Uhuru Kenyata Mstafu Moi Kibaki na Raisi wa Malawi Joiyce Banda na wengine wengi akiwemo Raisi wa Ugada Muselven na waziri mkuu wa Rwanda.
Endelea kkuitembeelea HAKI LEO kwa habbari muenndelezo