![]() |
Spika Mh. Sita pamoja na makatibu wake wakifwatilia jambo |
![]() |
Mbunge wa bunge hili malumu la katiba Ezekiel Olouchi akichangia marekebisho ya kanuni mapema leo asubuhi kabla ya bunge hili kuhairishwa |
![]() |
Mbunge /mjumbe wa bunge hili Bakari Makame akichangia marekebisho ya kanuni leo asubuhi![]() |

HIVI NDIVYO SPIKA ALIVYO INGIA

Wkwanza kulia ni waziri mkuu wa Tanzania M Pinda akiteta ambo na Godfrey Zambi

Avoid Mmanda kiongozi wa kamati ya kanuni na mjumbe wa bunge hili akiwasilisha marekebisho ya kanuni leo Bungeni

Wkwanza kulia ni waziri mkuu wa Tanzania M Pinda akiteta ambo na Godfrey Zambi

Avoid Mmanda kiongozi wa kamati ya kanuni na mjumbe wa bunge hili akiwasilisha marekebisho ya kanuni leo Bungeni