Wanampanda wakishangilia hotuba ya Zitto Kabwe wakati wa utambulisho wa viongozi wa chama hicho mjini Mpanda.
Mwanaharakati na Mshauri wa chama cha ACT Wazalendo, Mama Terry, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara ya kutambulisha viongozi wake.
WanaMpanda na bango lenye ujumbe wa kumkaribisha Zitto Kabwe.