MKAPA: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa....Chama cha Ukombozi ni CCM Tu

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu mh. Benjamini William Mkapa amesema kuwa wapinzani wanaodai vyama vyao ni vya ukombozi ni Wapumbavu na malofa kwa kuwa watanzania walikwisha kombolewa na chama cha ASP na TANU na kwamba chama pekee cha ukombozi kilichobaki hivi sasa ni CCM pekee.


Mkapa ametoa kauli hiyo jana  katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam wakati akimnadi mgombea urais wa CCM, Mh John Pombe Magufuli.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company