Watanzania wametakiwa kuwa wavumilivu na wenye utulivu wakati Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikiendelea na zoezi la uhesabuji wa kura ili kupata matokeo ya uraisi kutokana na idadi halali za kura.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani amesema kuwa matokeo ya Raisi awamu ya kwanza yataanza kutangazwa LEO Jumatatu saa 4 asubuhi, saa 7 mchana na saa 10 jioni.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago