Polisi yawashikilia watu wanne tukio la moto Brazil


Polisi nchini Brazil inawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kuhusika na tukio la moto uliosababisha vifo vya watu 231 katika klabu ya usiku kwenye mji wa Santa Maria Kusini mwa nchi hiyo hapo juzi.
Miongoni mwa watu hao ni mmiliki wa klabu hiyo ambaye amehojiwa kwa masaa kadhaa na polisi.
Zaidi ya watu hamsini wamezikwa jana huku serikali ikitangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company