Ban kuwasilisha ripoti ya wachunguzi wa silaha za kemikali Syria.




UN-Syria-Chemical-Weapons

Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki Moon ataliarifu baraza la usalama hii Jumatatu juu ya kile wakaguzi wa silaha za kemikali walichogundua baada ya kufanya uchunguzi huko Syria.

Timu hiyo ilichukua sampuli ya mchanga kutoka kwenye mitaa ya Damascus na sampuli za damu kutoka kwa raia waathirika wa mashambulizi ya gesi ya sumu mwezi uliopita.
www.hakileo.blogspot.c
Kazi yao ilikuwa si kuangalia nani wa kulaumiwa lakini kuthibitisha shambulizi kutokea. Lakini Marekani inasema hakuna shaka yeyote kwamba jeshi la Bw. Bashar Al Assad limehusik
a
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company