Je familia
yako inakubaliana na bishara yako?
Je unapenda
kuchukuwa maamuzi kwa haraka?
Unatumia
muda wako vizuri?
Umewezaje
kuifadhi fedha yako?
Umeudhuria
washa yoyote kuhusu fedha?
Je upotayari
kuisimamia bishara yako mwenyewe?
Je unaweza
kuendelea kufanya biashara?
Je umejaribu
kujadili wazo lako na mtu mwingine?
Umetunza
fedha ya kutosha kuweza kuuanzisha biashara yako?
Je upo
tayari kupoteza ama kupata hasara ya mapato ya kazi yako wewe mwenyewe?, kwa
kujua au kwakuto kujua .
Je, unaweza
kuendelea kudumu kufanya biaashara isio na faida?, lazima uwemvumilivula?
Je,umefikiria
kwa makini na kuorodhesha sababu zote kwani nini unataka kuingia katika
biuashara yako mwenyewe? Kufanikiwa katika biashara yako kunakuitaji uridhike
wewe mwenyewe.
Je,umelinganisha
mapato utakayo pata kutoka katika biashara yako mpya na yale ambayo ungeyapata
kutokakan a na kuajiriwa na mtu mwingine? Kama sababu zako za msingi za kuingia
katika biashara yako ni kupata fedha hakikisha ya kwamba mapato utakayo ya pata
yanazidi kuliko yale ambayo ungali ajiriwa.Kama jibu ni laaa basi mwajiri mtu
mwingine.
Umejaribu
kujadili wazo lako na washauri mahiri waliok katika nafasi mbali mbali za kazib
wenye mawazo na mitizamo tofauti?,pata ushauri kwa watu wanaofanya biashara
inayofanana na aliefanikiwa.Ushauru hupanua mawazo yako na kukupa mbinu mpya.
Unajua ni
fedha kiasi gani zinazo itajika katika kuazisha biashara yako? Lazima ufahamu
kiwango cha mtaji unacho kiitaji aidha kwa atua ya kwanza ambapo pia uanda
mtaji wa kuiendesha kwa miezi 6 mfululizo.
Umetunza
fedha ya kutosha binafsi ya kuanzisha biashara yako? Sio vizuri sana kuanzisha
buiaashara kwa fedha ya mkopo.Hii itakusaidia kupunguza garama za riba
usitegemee tuu mkopo kwa asilimia kubwa.
Unapato la
kutosha litakalo kustaimilisha kwa miezi 6 ya mwanzo au mwaka wakati wakuanza
biashara yako?,lazima ufikiri uhakikishe mahitaji yako kabla ya biashara hiyo
haijaanza kukomaa.
Kama
unategema kuchukua kiasi kikubwa cha mtaji kutoka kwa rafiki na jamaa zako,
unadhani kuwa biashara yako itakuja kuwa huru na michango hiyo iliyo tolewa?,a
yamkini watataka kujikweza na pindi wapatapo matatizo au sherehe wataitaji
chochote ki ya bishara yako,mara nyingi fedha hununua nafsi.Hakikisha fedha zao
hazi kufanya kuwa mtumwa na kuingilia maamuz
Je una jua
kuhusu vyanzo vingine vya fedha endapo mtaji wako uta kwama au kufilisika?
Umejaribu
kufikiri kuwa bishara yako itakuwa kwenye kundi lipi la kisheria? Mfano kampuni,ushirika
wa kibishara; unahusisha wanachama au watu wa wili au ni wewe mwenyewe, kila
kundi lina kodi zake.
Je,
umejaribu kufikiria mfumo wa utunzaji wa mapato na matumizi yako? kile unacho
dai wengine na kile unacho dai watu,kuwa na vitabu vinavyo onesha fedha iliyoingia na ile
iliyotoka.
Je utakuwa
tayari kuajiri wafanyakazi kienyeji wale watakaokuwatayari kufanya kazi kama utakavyo
itaka?,kuna aina mbili ya wafanyakazi watalamu na wale wasio na utalamu.
Kama
unafikiri kuajiri rafiki na jamaa zako unauwakika familia yako itaachakuingilia
biashara yako?unapaswa kuhakikisha wamekuwa radhi na wanaelewa sera na mikakati
ya biashara yako ya wapasa kutambua ya kwamba hiyo ni biashara na sio taasisi
ya kutoa misada.
Je,umeamua
kanuni au mfumo gani utakao utumia kupanga bei katika kila daraja la biashara
yako?
Umejaribu
kufikiri kuhusu kile kitakacho jitokeza kutoka kwa washindani wako wa bei?,uza
vitu bora vitakavyo kusaidi kushinda kwenye soko la ushindani pia chagua bei
itakayo tunza wateja.
Je,umeweza
kuwafahamu wateja wako wakudumu na unaweza kuwaorodhesha?,ni jambo muhimu kuwa
na uwelewa juu ya watu wanao weza kuwa
wateja wako na walio wateja wako .
Umefikiri na
kuzingatia juu ya jina lako ambalo ni la biashara yako?Jina linanguvu kubwa
katika kuelezea biashara yako na liwe raisi kukumbuka, na usijingize katika
mkumbo wa watu wanaopenda kutumia majina yao.
Unadhani biashara yako itachukuwa
muda gani ili kurudisha kile ambacho umekiwekeza?
Umejaribu
kutafiti kutoka kwenye vyanzo husika kuhusu hatua zote husika zinazo takiwa
kuchukuliwa katika biashara yako? Badhi ya biashara zinaitaji leseni na vibali
malumu ikiwemo usajili.Hii itakusaidia kuepuka matatizo mara utakapo ingia
kwenye biashara yako.
Je
unataka kuwa tajiri/mjasiriamali? Kama ndivyo;
Usipende usingizi
kuliko kutafuta mali?
Kama uanazisha
biashara bila mpango basi andika kwamba umeamua kufa masikini.
Kama unaogopa
mkopo pia andika umeamua kufa masikini.
Kama unalala
sana kama ni mvivu sana,jibu ni kwamba utakufa masikni
MABO MAKUU MATATU YA KUZINGATIA
Ulinzi,kwenye fedha,BIMA NA AKAUTI YA BENKI.
Uwakika wa chakula uwe ni asilimia %,itakufanya usifikrie viti vya ajabu
ajabu,penda kununua vyakula vya jumla.
Uwakika wa afya,itakusaidia kuwa na afya itakayo kuwezesha kufanya kazi zako
kwa ufanisi,BIMA YA AFYA AU HOSIPITALI UTAKAYO TIBIWA KWA MKOPO.
HABARI ZETU