
Telegraph (simu ya maandishi) kutoka kwa Idi Amin Dada Oumee kwenda kwa Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1978 ndiyo inayodaiwa kwamba ilizua Vita ya Kagera. Inasomeka hivi:“I want to assure you that I love you very much and if you had been a woman I would have considered marrying you, although your head is full of grey hairs. But as you are a man, that possibility does not arise”
