NA MILLARD AYO
Habari zilizopatikana kuhusu ndege kubwa ya shirika la Ethiopia Airlines ikiwa na abiria zaidi ya 300 kutua kwenye majani wakati ikijaribu kutua kwa dharura katika uwanja mdogo wa ndege wa Arusha, zinasema hakuna yeyote aliepoteza maisha kwenye tukio hili.
Hii ndege ilitua kwenye huu uwanja ambao unatumika na ndege ndogo peke yake baada ya kushindwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA) kutokana na ndege iliyoharibikia kwenye njia ya uwanja.
Ndege hii yenye ukubwa ililazimika kufika mpaka kwenye majani baada ya kutua kutokana na uwanja kutokua saizi yake.
Taarifa nyingine kama zitatoka kuhusu hii ishu utazipata hapahapa millardayo.com