VINCENT NYERERE KUUANZA MWAKA MPYA AKIWA GEREZANI NA WAFUNGWA:

1:Achukua Maamuzi ya Kunywa nao Uji Siku ya Mwaka Mpya hapo Kesho 01/01/2014 Kuanzia Asubuhi na Kula nao Chakula Cha Mchana Pamoja na Mahabusu, Wafungwa na Askari Magereza Wote wa Gereza la Musoma Mjini! Habari: Mbunge wa Jimbo la Musoma Mjini huko Mkoani Mara Mhe.Vincent Nyerere Ameibua Kali ya Mwaka Mpya wa 2014 na Mfano wa Kuigwa na Viongozi wa Taifa hili Baada ya Kutangaza rasmi Kushindia Gerezani Siku hiyo Kuanzia Asubuhi Mpaka Jioni...Tukio hilo linatarajiwa Kufanyika hapo Kesho Katika Gereza la Wafungwa na Mahabusu lililopo Musoma Mjini Mkoani Mara... Aidha Katika Hafla hiyo, Askari na Maofisa wa Jeshi la Magereza nao Wamealikwa Kushiriki! HONGERA MHE. VINCENT NYERERE...HUU NI MPANGO MZURI WA KUIGWA NASI SOTE!!!... HAKI LEO Tunawatakieni Kila la Kheri!
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company