
Habari zilizo tufikia hivi punde kwenye blog yetu ya kijamii nikwamba waziri wa fedha mh William Mgimwa amefariki mchana wa leo nchini Afrika kusini alikokuwa amekwenda kwa matibabu ya ugonjwa wa "Presha" uliokuwa ukimsumbua kwa muda mrefu.Habari zaidi tutakuleteeni baadae,
