Mafuriko yamevunja daraja la Berega
ambapo maji yanapita juu ya daraja
lingine la Dumila katika barabara ya
Morogoro – Dodoma hali iliyosababisha
wasafiri kuendelea na safari zao.
Hali hiyo inasababisha magari kupita
upande mmoja kwa shida na wengine
kusitisha safari zao na kugeuza huku
kukiwa na msururu mkubwa wa magari
yanayosubiri hali hiyo itengamae, watu
walioshuhudia hali hiyo wamesema
mafuriko hayo imetokana na mvua kubwa
iliyonyesha maeneo hayo ambayo
haijawahi kutokea kwa siku za karibuni na
kutiririsha maji mengi kiasi hicho...

www.hakileo.blogspot.com
