Sheria mpya kuanza kutumika 2014 katika baadhi ya nchi.

Baruti huko Sydney, Australia, Jan. 1, 2014 wakisherekea mwaka mpya.Sheria mpya zitaanza kutumika duniani kote mwaka 2014 huku baadhi zikiathiri nchi nyingi zaidi wakati nyingine ni jumuiya tu ambazo zimepitisha sheria hizo .
Latvia inakuwa taifa la 18 kwenye umoja wa ulaya leo , wakati Riga ikiendelea kujiweka kando na historia yake ya nyuma kama nchi ya kisoviet ya zamani.
Raia wa Latvia wataweza mara moja kutumia euro, pamoja na sarafu ya nchi hiyo Lat mpaka January kati kati.
Nchi nyingine pia zinafanya mabadiliko ya kitaifa .Huko Switzerland madereva itabidi wasizime taa zao hata mchana kweupe. Canada imepiga marufuku taa za glopu, wakati Bostwana wanapiga marufuku uwindaji wa tembo.www.hakileo.blogspot.com
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company