HALI YA MSANII WA BONGO MOVIE MAINDA SI NZURI ,.YU HOI KITANDANI ANAUMWA ,WADAU DUA ZENU ZINAITAJIKA

Msanii wa Filamu Bongo,Ruth Suka 'Mainda',
akiwa Hospitali na mmoja wa wauguzi wa
hospitali hiyo ambayo jina lake hakutaka
kulitaja mara moja.
Haki.......imebaki historia tu......maana
magonjwa sasa hayana nafasi
kwangu....nimejua kwa kupigwa kwake Yesu
mimi nilishaponywa kitambo. Asante yesu kwa
kuchukua udhaifu wangu,magonjwa
yangu,unyonge wangu...na Umenipa Tumaini
maisha yangu yote acha nikutumikie
ipasavyo.japo najua nitakutana na vikwazo ila
nitashinda coz wewe ulishafanya njia siku
nyingi.mapambano yanaendelea huku nikizidi
kukukili wewe Yesu kuwa ndie Bwana na
Mwamba wangu....EMMANUEL:GOD with US..

Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company