LOWASSA AHUDHURIA MSIBA WA PATRICK QORRO


Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mh Benjamin Mkapa akisalimiana an waziri mkuu mstaafu an mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Mzee Patrick Qorro Ada estate jijini dar es salaam jana.

...akisalimiana na Profesa wa Chuo Kikuu DSM, Issa Shivji

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akimsikiliza mwenyekiti wa taasisi ya mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro jijini dsm leo hii. Picha: Na Mpiga Picha wetu
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company