MAFURIKO YA KUTISHA YA ITESA UINGEREZA


Baadhi ya magari yakiwa yamezama nje nyumba kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Uingereza na kusababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo.
Njia za Treni na barabara zilkiwa zimejaa maji.....


Waokoaji wakiwavusha wananchi baada ya kuwaokoa kutoka katika nyumba zao zilizojaa baji.

Baadhi ya raia wa nchini humo, wakiwa hawana la kufanya baada ya nyumba yao kuzungukwa na maji na kujaa ndani.

Waokoaji wakimuokoa mwanamama...

Uokoaji ukiendelea.....

Nyumba zikiwa zimezungukwa na maji ...

Huku ndiyi angalau maji si mengi....Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company