MWENYEKITI WA CCM DR. JAKAYA KIKWETE AWASILI MKOANI MBEYA TAYARI KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr.Jakaya Kikwete akishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya  tayari kwa kuongoza maadhimisho ya Miaka 37 ya Chama cha Mapinduzi yanayofanyika leo kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, ambapo amepokelewa na viongozi mbalimbali wa kitaifa wa Chama na Serikali pamoja na wananchi waliojitokeza katika mapokezi hayo.Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr.Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Songwe. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dr.Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katikati ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Abas Kandoro na Mkuu wa wilaya ya Mbeya mjini Dr. Norman Sigalla kushoto. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dr.Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Marck Mwandosya Waziri asiyekuwa na Wizara maalum, katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dr. Norman Sigalla na kushoto ni Dr. Harrison Mwakyembe Waziri wa Uchukuzi. Mwenyekiti wa Cma Cha Mapinduzi CCM Dr.Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Kamnda wa Polisi mkoa wa Mbeya SACP AHMED Z. MSANGI (PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-MBEYA) .Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dr.Rais Jakaya Kikwete akipokea heshima kutoka kwa kikosi cha vijana wa Chipukizi mkoa wa Mbeya mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Songwe kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi na kutoka kushoto ni Dr. Harrison Mwakyembe Waziri wa Uchukuzi, Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Abas Kandoro, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula, Mkuu wa Wilaya ya Mbeya mjini Dr. Norman Sigalla na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dr.Rais Jakaya Kikwete akivishwa skafu na vijana wa chipukizi mkoa wa Mbeya mara baada ya kuwasili mkoani humo kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr.Jakaya Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wa mkoa wa serikali na chama. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na viongozi na wabunge Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr.Jakaya Kikwete akisalimiana na vijana wa UVCCM. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr.Jakaya Kikwete akiwa katika kikao cha ndani na viongozi wa CCM mkoa wa Mbeya kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana, Mzee Philip Mangula Makamu Mwenyekiti Bara na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi wajumbe wa harmashauri kuu mkoa wa Mbeya wakiwa katika kikao hicho.Mary Mwanjelwa Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Mbeya akisalimiana na makada wa chama hicho kushoto ni Kada wa CCM Richard Kasesela. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh. Dr. Norman Sigalla wakati aliookuwa akizungumza jambo naye katikati ni Kada wa CCM Bw. Mwakipesile na kuliani Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Abas Kandoro. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Kamnda wa polisi mkoa wa Mbeya SACP AHMED Z. MSANGI wakati wa mapokezi hayo. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na viongozi wanawake wa mkoa wa Mbeya. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza kwa msisitizo na Dr. Harrison Mwakyembe Waziri wa Uchukuzi wakati wa mapokezi hayo. Ndege ya Rais Jakaya Kikwete ikiwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company