OSCAR SAMBA(OBAMA) MWANAFUNZI WA A.J.T.C AMESIMAMISHWA MASOMO CHUONI HAPO HADI TAREHE 10 MWEZI HUU.

Kwa mijubu wa barua niliyoipokea leo inanitaka nikamlete mzazi wangu na nije nae chuoni tarhe kumi mwezi huu,katika hali ya kusangaza maeelzo hayo hayataji kusimamishwa kwangu ila yametumia tafsidaya ya kunitaka nika mlete mzazi.
Jambo hili limeniuma sana na limekuja mara baada ya kuvunjwa kwa tume ya katiba na kufutwa kwa rasimu ya katiba tuliyo iunda.
Nilipo hoji kukata ufaa nimeambia hiyo nafasi haipo...ila hivi sasa ninawasiliana na mwanasheria wangu aitwae Erick ambae hivi sasa ni wakili wakujitegemea ili nione nia za haki za kuchukua,,,siogopi kumleta mzazi ila hoja ni kwamba kipindi hiki nitapoteza haki yangu ya msingi yya kufundishwa na pili mzazi huyu ataacha ajukumu yake...ila kabla kesho sijaenda kwa mkuu wa wilaya kama mwanasheria ataniruhusu kwanza nitaonana na mkurugenzi wa chuo mimi na Raisi George Silange ambae nae amepewa barua iliiyomtaka kusaiini kwa kuwa ilikuuwa na mapungufu hakusaini walakuipokea

Kosa lililo tajwa kwangu ni lautovu wanidhamu la kukataa kutoa habari ile ya RASIMU YA KWANZA YA KATIBA kama ilivyo amrishwa na Mr. Samboto akidai kwa niaba ya utawala mkuu wa chuo.
Hoja hii ni dhaifu kwani katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Ibara ya 18 inanipa mmamlaka ya kutoa na kupokea habari pilii blogu yyangu ipo chini ya TCRA na MCT au IDARA YA HABARI AELEZO AU WIZARA YA MAWASILIANO AU HABARI ya Tanzania.
Kwahiyo sikuweza kutii wito wa mtua ambae hanauwezo huo kkisheria ..
EMBU SOMA IBARA HII YYA KATIBA YA TANZANIA..INAYONIPA UHALALI HUO

18.-(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru 
kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, 
kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo
chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa 
mawasiliano yake kutoingiliwa kati. 
 (2) Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu 
matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu 
kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala 
muhimu kwa jamii.
Uhuru wa mtu 
kuamini dini 
atakayo Sheria 
ya 1984 
Na.15 ib.6
Sheria ya 1992

SASA AIYEJUU YA KATIBA NAANENE SASA
IMETUMMWA NA www.hakileo.blogspot.com
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company