
Chopa ikiondoka viwanja vya Mwembetogwa

Makamu mwenyekiti Chadema Said Issa Mohamed akiongoza kumuombea Dua Mgombea Ubunge Jimbo la kalenga Grace Tendega.

Mwenyekiti Chadema akimpongeza Makamu wake

Mwenyekiti CHADEMA akiongea na wananchi wa Iringa.

Mfano wa karatasi ya kupigia kura.(Picha na Mnyalu)
