Ajali hiyo ni ya bomu imetokea katika baa ya NIGHT PACK iliopo katika eneo la mianzini .
Tafadhali kwa habari zaidi endelea kuifwatilia blogu hii ya HAKI LEO
UP DATE
Watu wa wili wameripotiwa kupoteza maisha na majeruhi ni wengi wamepelekwa katika hosiputali za AICC,SELIANI na MT. MERU
Bomu hilo ni la kutupa na mkono, Polisi wanaendelea na uchunguzi
![]() |
PICHA YA BAR HIYO KAMA INAVYOONEKA BAADA YA KUBINGWA NA BOMU UP DATE Asubuhi hii tumepokea tarifa kutoka kwa mkuu wa mkoa zinazokanusha habari ya awali na kudai kuwa hakuna mtu aliye poteza maisha badala yake waliojeruhiwa walikuwa ni 15 na kumi na wa wili bado wamelazwa mahosipitalini huku wengine wakiruhusiwa jana kurejea makwao. |