
up date.
JUMBE ANASEMA IMEKUWA ZAMBI KUZUNGUMZIA HATI YA MUUNGANO KWA SABABU HAIPO,,
HATA KAMA ILIKWEPO HATI HII NI HALALI?
JIBU..ILI MUUNGANO UWE HALAILI NI LAZIMA IPATE RIDHAA YA MABUNGE MAWILI YA IBARA YA 8 YA UN,,ACT OF UNINO OF TANGANYIKA AND ZANZIBAR INADAI YA KWAMBA SHERIA HIYO ILIPITISWA NA BARAZA LA MAPINDUZI LA ZANZIBA..
ILA PROFFESER SHIFJI ANASEMA YA KWAMBA ILIANDALIWA NA WATANGANYIKA NA MUUNGANO HUO ULILAZIMISHWA NA SHERIA HIYO ILICHAPISHWA NA KUPITISHWA TUU NA SI HALALI KWANI HAIKUPITISHWA NA BARAZA LA MAPINDUZI..
SALIMUSAIDI RASHIDI KATIBU WA BARAZA LA MAPINDUZI ALISEMA YA KWAMBA KILA JAMBO LILIPASWA KUJADILIWA NA BARAZA LA WAWAKILISHI NA ALITAKIWA KUTO KUMPA TARIFA MWANASHERIA MKUU,,KIBWANGALA SASA ANASUMBUA KWA TAARIFA
WANAZOMEA KWA KUMPINGA KIBWANGALA SITTA ANAWATAKA KUMSIKILIZA
ANADAI YA KWAMBA PROFFESER SHIFJI ANADAI KATIKA KITABU HICHO YA KWAMBA ALIKWEPO HANGA BABU NA MOYO AMBAO WALIKWEPO KWENYESHEREHE YA KUBADILISHANA KWENYE BUNGE ISTRUMENT OF LATIFICATION ANASEMA IMO KWENYE HANSAD.
TINDU ANAJIBU: NUSU KAINE YA UONGO ISHE ANDENDELEA..KWA MUJIBU WA UTARATIBU
ABRUDU JUMBE USAHIDI WA MWISHO..KWENYE KITABU CHAKE NYERERE ALIKUJA NA WARAKA ULIKUWA NA MAKUBALIANO AMBAO ULITIWA SAINI KATIKA IKULU YA ZANZIBAR KWANZA.
KITABU CHA MZEE PIUSU MSEKWA..MWALIMU NYERERE ALITUNGA AMRI DREGREE...AMRI YA MASHARITUTI YA MPITO..AMRI HIYO ILIWABADILISHA WAFANYAKAZI WOTE WA TANGANTIKA KUWA WAMUUNGANO PILI ILIGEUZA MAHAKAMA KUU KUWA YA TANGANYIKA 3. NA NEMBO ILIKUWA YA MUUNGANO.
AMRI NYINE YA KATIBA YA MUNDA ILISEMA KATIBA YA TAGANYIKA ITAKUWA KATIBA YA MUUNGANO
15 JUNE 1964 AMRI YA MPITO ILIYOELEKEZA YA KWAMBA MAHALI PPTE PENYE JINA TANGANYIKA NA MALI ZAKE ZIWE ZA MUUNGANO..KITABU KINASEMA YA KWAMBA UHAI WA TANGANYIKA ULITOLEWA KWA AMRI YA NYRERE TANGANYIKA HAIKUUWAWA NA MAKUBALIANO YA KWAMBA ILIUWAWA NA AMR YA NYERERE NA MWALIMU HAKUWA NA AMRI HIYO KIKATIBA..
ANAEDELEA HABARI YA TANZANIA KUWA NCHI MMOJA ANASEMA ILIINGIA 1984 KWA SHERIA MIAKA 20 BAADA YA MUUNGANO BAADA YA KUNGOLEWA KWA JUMBE.
ANAMALIZIA AKISEMA YA KWMBA WALIOZOEA VYA KUNYONGA HAWWEZI KUWEZA VYA KUNJINJA NA WALIOZOEA VYA UONGO HAWAVIWEZI VYA UKWELI HIVI SASA NI MIONGO INAOMBWA NA NA WENGINE WANAZOMEA
SELUKAMBA MUONGOZO: TUMEAMBIA HAPA NDANI MUUNGANO HAUPO NA HATI HAIPO SASA JHAPA TUKO KAMA NANI? MWENYEKITI HILINIJAMBO KUNMWA
SEKIFU MUONGOZO: KANUNI 46 KIFUNGU E KINACHOSEMA MJUMNBE AU MJUMBE HATATUMIA MAJINA YA RAISIWA TANZANIA AU WASASI KWA DHAKA UAU KWA KUSHAWISHI BUNGW KUTIMIA AU KUAMUA JAMBO FULANI PIA G KUZOMEA AU KUAGEHEHI HOJA..TUANTA ATOE USHAHIDI KWA WALE ANAOSEMA WALUUWAWA NA KWA KUSEMA YA MWALIMU HAKUWA NA MALAKA..
MTIKILA;NINA SHUKURU,,TWENDE VIZURI NA KAZI YETU SWALI LA LULUKAMBA,,TUJITIE MOYO TUPO HAPA KWA AJILI YA KUTENGENEZA KATIBA NA KATIBA ITATENGENEZWA KATIKA MISINGI YA UKEELI TULIJENGWA KATIKA MISINGI YA UONGO NDIO MAANA MUNGU ALISHINDWA KULIBARIKI HILI TAIFA NA PIA MH MWENYEKITI HAPA TUNALO WATU MILIONI 48 TUNAO WAWAKILISHA TULIPELEKE KIPAUMBELE WATU WALIOKUFA NA KUSAHAU HAWA TUHESHIMU WATU HAWA SASA TURUDI KATIKA KWELI UHURU WATANGANYIA NA WAZANZIBARI.
MPANJU: TARIFA KWA MTIKILA ..HAIWEZEKANI TUKASEMA NCHI YETU IMENYIMWA BARAKA WAKATI TUNAAMANI TUANPATA RIZIKI ZOTE ZA MWENYEZU MUNGU KWA HIYO ASITDANYANYE KWA UONGO WAKE,,WAKATI MWINGINE NA SHANGAA NINAP WAOA WATALAMU WANAPOTUMIKA KUIONGOPEA TAOFA KWA KUSEMA YA KWAMBA TAIFA LINASEMA WALISHUHUDIA WAKITILIA SAINI HUKU AKISEMA ULIKOSA UHALALI
MWENYEKITI SITTA; HAPA HAMKUNIONMBA MUONGOZO WOWOWTE BADALA YAKE MLICHANGIA KAZI AMBAYO TUTAIANZA BAADAE.
WASIRA KABLA YA KUCHANGIA AMESEMA HATI IPO NA ITAWASILISHWA BUNGENI SIKU MBILI ZIJAZO ..WATU WANASHANGILIA ,,ILA MIMI NA HAOJI KWA HIYO ILIYOPELEKWA HAPO AWALI ILIKUWA FEKI?
BAADE JUSA ANASEMA..
KATIBA YA MWAKA 1964 INA ITAMBUA TANGANYIKA
PIA BARUA ILIYOENDA UMOJA WA MATAIFA ILIKUWA NAMHURI WATANGANYIKA
PIA KATIBA INAITAMBUA TANGANYIKA NA MIPAKA YAKE AMBAYO INASEMWA HAIPO.
PIA JUSA ANAWATAKA WENZIE AMBAO WALIPOKUWA ZANZIBAR WALIKUWA KITU KIMOJA NA HIVI SASA WANAWAGUKA KINAFIKI KUACHA TABIA HIYO