PICHA ZA MKUTANO WA KUSHUKURU wa mbunge mteule wa jimbo la chalinze Ridhiwani Jakaya Mrisho Kikwete



Mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na mjumbe wa kamati kuu ya CCM Mh. Jerry Silaa wakati wa mkutano wake wa kuwashukuru wananchi wa Chalinze kwa kumchagua kuwa mbunge wao uliofanyika katika Uwanja vya Miembe saba, Tume ya taifa ya Uchaguzi imemtangaza Mh.Ridiwani Kikwete kuwa mshindi katika uchaguzi uliofanyika juzi Aprili


Mke wa mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Bi. Arafa Ridhiwani akiwasalimia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhaPICHA NA ra uliofanyika Kayta ya Bwilingu uwanja wa Miembe Saba Chalinze jana



Mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Mh Ridhiwani akiwashukuru wananchi wa Chalinze baada ya kumchagua kuwa mbunge wao katika uchaguzi uliofanyika juzi jimboni humo(AWADH IBRAHIM)
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company