
katibu mkuu wizara ya habali na michezo Bi Sihaba Nkinga akitoa hotuba ya ufunguzi wa kikao cha wadau wa firamu kuhusu mustakbali wa soko la firamu nchini

Katibu mtendaji Bodi ya firamu nchini Bi Joyce Fisoo akieleza lengo la kikao hicho mbele ya wadau wa firamu

Baadhi ya wadau wa firamu walioshiriki kikao cha kujadili masuala mbalimbali yahusuyo tasinia hiyo

Picha ya pamoja katibu mkuu wa wizara ya habari vijana utamaduni na michezo Bi Sihaba Nkinga maada ya ufunguzi wa kikao(AWADH IBRAHIM)