Ofisa utumishi Mkuu Wilaya ya kinondoni Bwana Godfrey Mugomi akikata utepe kuashiaria uzinduzi wa Hoteli ya kisasa STAR CITY HOTEL iliyopo Afrikana sinza wanaoshudia ni Mkurugezi mkuu na mmiliki wa Hoteli hiyo Bwana Obadia Mtewele na Mkewe Joyce Msigwa hoteli hiyo ya kisasa inayo uwezo wa kupokea wageni kutoka nnje ya nchi na ndani ya nchi.
Muhudumu aliye fuzu katika kazi za Hoteli akiandaa vyombo kwa ajili ya wageni