WAWILI WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI LA SMART ILIYOTOKEA LEO ENEO LA LUGOBA



Basi la smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba

Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata mshtuko


Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi la Smart Asubuhi Ya leo.
Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini
Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo vya watu Wawili
pamoja na Kujeruhi abiria wanaokadiriwa kufika 20 .Ajali hiyo imetokea katika Eneo la Mkata na Lugoba Barabara Kuu ya Chalinze Segera.PICHA NA HABARI NA DJ SEK BLOG
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company