YANGA SC ILIVYOWAFANYA KAGERA SUGAR JANA TAIFA


Wachezaji wa Yanga SC wakipongezana jana kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, ambao unaweka hai matumaini ya kutetea ubingwa wao.

Mfungaji wao bao la kwanza ya Yanga SC, Hamisi Kiiza kulia kulia akipambana na mabeki wa Kagera Sugar

Mtengenezaji wa mabao yote mawili ya Yanga jana, Mrisho Ngassa kulia akipambana na beki wa Kagera Sugar


Mfungaji wa bao la pili la Yanga SC, Didier Kavumbangu kulia akimtoka Salum Kanoni wa Kagera Sugar
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company