
Mmiliki wa Gazeti tando la Mjengwa na Kituo cha Redio Kwanza Jamii, Bw. Maggid Mjengwa akielezea jinsi Intaneti inavyoweza kuunganisha mtandao wa Redio kwenye kongamano la siku ya uhuru wa vyombo vya habari mjini Arusha katika ukumbi wa mikutanao AICC. Na Josephine MKkude