Kocha wa Aston Villa, Paul Lambert
Aston Villa imemtimua kocha wake Paul Lambert baada ya Klabu hiyo kushuka kwenye Msiamo wa ligi kuu England na kuwa hatarini kushuka daraja
Villa ilipoteza mchezo kwa kupigwa Mabao mawili kwa sifuri na Hull city siku ya jumanne, ikiwa ni mechi yao ya 10 bila kuondoka na ushindi.
Mskoti huyu aliteuliwa mwaka 2012, na kusaini mkataba ambao utamalizika mwezi June mwaka 2018.
Kocha wa kikosi cha kwanza Scott Marshal na Kocha wa Magolikipa Andy Marshall wanashikilia nafasi ya Lambert kwa sasa
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago