Ndugu zangu,
Yumkini Idd Amin alitia shaka uwezo wetu wa kulipiza kisasi. Watanzania ni wakali sana wanapochokozwa. Februari 27, 1978, siku kama ya leo, baada ya kupokea amri ya kusonga mbele kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu, Julius Nyerere, Vijana wetu Wapiganaji, asubuhi kama ya leo walikuwa wameukamata mlima Gayaza na jioni yake Mji wa Mbarara ulitekwa. Anaandika Yoweri Museveni ( Sowing The Mustard , Seed, pg 99)
NA Maggid Mjengwa
William Kaijage Maggid
Vita ilianza rasmi tarehe 30-Oct-1978 na iliisha rasmi tarehe 11-Apr-1979 (miezi mi-5, wiki 1 na siku 5). Tarehe iliyotajwa nina wasiwasi kama kulikuwa na vita.
47 mins · Like · 1
Maggid Mjengwa Kaijagem ahsante, ni mwaka 1979, na si kingine.
40 mins · Like · 1
Leka Kiwara Katika kusoma vitabu vya sehemu mbili, yaani Tanzania na Uganda, nimeanza kuwa na wasiwasi kuhusu kuvamiwa kwa Tanzania au chanzo cha vita kwa ujumla! Tukimbuke shilingi ina pande mbili!
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
5 years ago