K ALIHUTUBIA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI, JIJINI BUJUMBURA, BURUNDI

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mh.Daniel Kidega akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika jengo la bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake katika Bunge la Afrika Mashariki huko Bujumbura Burundi leo.



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa kuingia katika jengo la Bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.(P.T)




Rais Jakaya Kikwete, akisimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kulihutubia Bunge la Afrika Mashariki.



Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki.



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wabunge wa Afrika Mashariki muda mfupi baada ya kuwahutubia mjini Bujumbura Burundi leo. Picha na Fredy Maro.
Share this article :
 
Support : Creating Website | SAMBA Template | HAKI LEO Template
Copyright © 2011. HAKI LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by HAKI LEO Template
Imewezeshwa na Haki Leo Company