Nape Fransisi Nauye katibu muenezi na itikadi wa chama cha CCM akiwa katika msiba wa Mb,Kapteni Komba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado wanaendelea kufika nyumbani kwa marehemu Kapteni John Komba kwa ajili ya kutoa salaam za rambi rambi.
Ratiba ya awali iliyotolewa na familia wamesema mwili wa Marehemu Kapteni Komba utafika saa 10 kwa ajili ya sala kisha mwili utalala hapa nyumbani kwake kwa siku ya mwisho kisha kesho March 02 utaelekea Karimjee kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kisha utasafirishwa kuelekea Mbinga kwa mazishi.
TAIFA STARS HAZARANI
-
Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Etiene Ndairagije ametangaza
kikosi cha timu ya taifa chenye wachezaji 30 ambao wanajiaandaa na mchezo
wa kuwania ...
tabasamu leo
-
[image: MICHEZO ,BURUDANI , INJILI]
Hutoa habari za aina mbali mbali ikiwemo habari za:
HABARI
- *MICHEZO*
- *BURUDANI*
- *INJILI*
*Haki hai...
KIJANA AUAWA KATIKA MZOZO WA MAPENZI
-
Polisi mjini Nairobi wanachunguza kisa cha mwanafunzi mmoja wa kidato cha
tatu anayedaiwa kumuua mwenzake kwa kumdunga kisu.
Tukio hilo lilifanyika siku ya...
Utafiti: Ngono ya mdomo ni hatari
-
Namna mdomo unavyoharibika kutokana na ngono kufanywa kwa kutumia mdomo.
Picha ya Maktaba.
Na Hadija Jumanne, Mwananchi
Jana ilikuwa siku ya Saratani Dun...